Ta Ha 20:14 انني انا الله لا الاه الا انا فاعبدني واقم الصلاة لذكري ١٤
إِنَّنِيٓ
أَنَا
ٱللَّهُ
لَآ
إِلَٰهَ
إِلَّآ
أَنَا۠
فَٱعۡبُدۡنِي
وَأَقِمِ
ٱلصَّلَوٰةَ
لِذِكۡرِيٓ
١٤
Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Swala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi.
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mimi Ndiye Mwenyezi Mungu, hakuna mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa mimi, sina mshirika, basi niabudu mimi na usimamishe Swala ili unikumbuke ndani yake.
Mimi Ndiye Mwenyezi Mungu, hakuna mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa mimi, sina mshirika, basi niabudu mimi na usimamishe Swala ili unikumbuke ndani …